Lawrence Masira: Mvulana wa Kenya aliyetunukiwa na mchezaji wa Arsenal Mesut Ozil

Maelezo ya video, Lawrence Masira: Mvulana wa Kenya aliyetunukiwa na mchezaji wa Arsenal Mesut Ozil

Picha ya kijana mdogo akichunga ng'ombe akiwa amevaa jezi au fulana aliyoiandika jina la Mesut Ozil na chapa ya number ya mchezaji huyo imewavutia wengi katika mitandao ya kijamii akiwemo nyota mwenyewe wa soka.

Mchezaji wa kiungo cha kati wa Arsenal Mesut Ozil amemnyooshea mkono mvulana mdogo kutoka nchini Kenya, Lawrence ambaye picha yake akiwa amevaa jezi bandia ilitumwa katika ujumbe wa twitter kwenye akaunti ya Ozil mwaka jana.

Tumemtafuta Lawrence, kujua zaidi kuhusu maisha yake

Video: Njoroge Muigai