Julie Asuju na Wangui Njee: Marafiki wanaokabiliana na vitiligo kwa ujasiri
''Nimewahi kuitwa tumbili mara mbili'' anasema mmoja wao.
Marafiki Julie Asuju na Wangui Njee wanaugua vitiligo, hali inayosababisha mabaka mwilini.
Hii inatokana na ukosefu wa seli zinazosaidia mwili kuwa na rangi yake ya kawaida.
Marafiki hawa wanaelezea changamoto wanazopitia kuishi na hali hiyo na uzuri wake.
