Carola Kinasha anajulikana kama mwanamuziki msomi
Carola Kinasha ameshiriki katika miradi na matamasha mbalimbali ya kimuziki, ndani na nje ya Tanzania. Ni mtetezi pia wa haki za binadamu msisitizo wake zaidi ukiwa katika haki za wasanii wa Tanzania. Amezungumza na Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda.
