Parkour: Wakenya wanaoruka kwenye majengo 'kama paka'

Maelezo ya video, Parkour: Wakenya wanaoruka kwenye majengo 'kama paka'

Nchini Kenya kuna vijana ambao wamekumbatia mchezo wa kuruka kwenye majengo na vitu vingine jijini Nairobi. Mchezo huo hufahamika kama Parkour.

Kwa nini wakaingia kwenye mchezo huu. Kuna changamoto?