Kwa nini Waafrika hawafanikiwi katika uogeleaji?
Licha ya mataifa ya bara la Afrika kuwa na ufuo wa bahari, mito na maziwa, waogeleaji kutoka bara hili mara nyingi hushindwa kufanikiwa katika mashindano ya kimataifa.
Sababu yake ni nini?