Dikembe Mutombo: Mchezaji wa DRC aliyewazima wapinzani NBA
Dikembe Mutombo ambaye jina lake kamili ni Dikembe Mutombo Mpolondo Mukamba Jean-Jacques Wamutombo alikuwa mchezaji stadi wa mpira wa kikapu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Mutombo mwenye miaka 51 sasa alicheza misimu 18 katika ligi ya Chama cha Taifa cha Mpira wa Kikapu maarufu kama NBA.
Aliwezaje kufanikiwa? Ushauri wake kwa wachezaji chipukizi?
Ungana na kipindi cha Tufahamiane cha BBC ufahamu zaidi kumhusu.