Mkenya Samuel Abisai asimulia alivyoshinda dola 2m katika shindano Sportpesa

Maelezo ya video, Mshindi wa dola 2m Samuel Abisai asema haweki dau tena

Mkenya Samuel Abisai alijishindia kitita cha dola milioni 2.2 katika shindano la kampuni ya bahati nasibu Sportspesa, kwa kubashiri matokeo ya mechi 17 mwishoni mwa wiki.

Samuel Abisai alitumia dola mbili pekee kubashiri matokeo hayo.

Ushindi huu unasemakana kuwa mkubwa zaidi katika michezo ya bahati nasibu barani Afrika.

Alizungumza na mwandishi wa BBC David Wafula.