Bondia Golola Moses wa Uganda ashinda taji la Afrika
Mabondia wa ngumi na mateke wa Kenya, Tanzania, Uganda na Sudan Kusini walikusanyika jana mjini Nairobi katika ukumbi wa Kasarani kuonyesha umahiri wao wa mchezo huo. Na katika pigano kuu la siku,
Golola Moses wa Uganda alitwaa taji la Afrika uzani wa middle........John Nene alikuwa kando ya ulingo na hii hapa ripoti yake....