Magari yasiyotumia mafuta yaanza kazi Kenya
Magari yasiyotumia mafuta yameanza kuuzwa na kutumiwa nchini Kenya kwa mara ya kwanza. Takriban watu watano sasa wanajivunia kumiliki gari hilo.
Magari hayo yanatumia umeme pekee.
Francis Romano, msimamizi wa kampuni inayohamasisha watu magari hayo, anafafanua kuhusu teknolojia hiyo.