Didi Akinyelure, mshindi wa tuzo ya Komla Dumor

Mwanahabari Didi Akinyelure, raia wa Nigeria, ndiye mshindi wa mwaka huu wa Tuzo ya Komla Dumor.

Hakusomea uanahabari lakini amefanikiwa sana kama mwanahabari anayeangazia habari za biashara katika runinga ya CNBC nchini Nigeria.

Je, nini kimemsaidia hadi akafika alipo?