Madhara ya Shisha
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa tumbaku kwenye bomba maarufu kama Shisha.
Hatua hiyo imepingwa na baadhi ya wafanyabiashara na wavutaji wakidai uraibu huo hauna madhara ya kiafya.
Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa alitangaza ndiye aliyetangaza marufuku hiyo akisema kuwa uraibu huo umechangia kudorora kwa maadili miongoni mwa vijana pamoja na kuwapunguza uwezo wao wa kiakili na hata kimwili kufanya kazi.
Kutoka Dar es Salaam Esther Namuhisa na taarifa zaidi