Chui ashambulia watu India
Watu sita wanauguza majeraha nchini India baada kushambuliwa wakijaribu kumdhibiti chui aliyekuwa ameingia kwenye shule moja.
Video kwa hisani/Public TV, Bengaluru