Anna Mghwira mgombea urais mwanamke TZ
Anna Mghirwa ambaye mgombea urais pekee mwanamke katika uchaguzi wa mwaka huu nchini Tanzania.
Anawania kiti hicho kwa tiketi ya chama cha upinzani cha ACT Wazalendo. Amezungumza na Zuhura Yunus