Boresha uelewa wako kuhusu Ebola
Mlipuko wa homa ya Ebola katika kanda ya Afrika Magharibi,umewaua watu 1,000.
Huu ni mlipuko mkubwa zaidi wa homa hii kukumba dunia nzima ikizingatiwa visa vya maambukizi yaliyotokea pamoja na ueneaji wa ugonjwa huo.
Taarifa hii ya sekunde 60 inaeleza kwa nini homa hii ni kali mno.