Siku ya wapendanao Kenya

Wakenya washerehekea siku ya wapendanao kwa mbwembwe. Wapenzi wanunua maua na kuwapokeza wapenzi wao.