Mtoto arejesha picha za mwaka 1800

Baba alivyomtumia mtoto wake kuwakumbusha watu picha zilizopigwa mwaka 1800

Mpiga picha Bill Gekas kutoka nchini Australia, ametuzwa mara nyingi kwa picha zake nyingi na za kupendeza. Alijifunza mwenyewe sanaa hii kutokana na kuenzi picha za watu wa zamanai zilizompa motisha ya kuchora picha zake
Maelezo ya picha, Mpiga picha Bill Gekas kutoka nchini Australia, ametuzwa mara nyingi kwa picha zake nyingi na za kupendeza. Alijifunza mwenyewe sanaa hii kutokana na kuenzi picha za watu wa zamanai zilizompa motisha ya kuchora picha zake
Katika mradi wake ambapo anatoa mfano wake kutoka kwa wachoraji wajuzi wa Ulaya na waliochora mwaka 1800. Gekas amemtumia msichana wake mwenye umri wa miaka sita katika kila picha kuleta taswira hiyo ya waliokuwa watu wakubwa zamani
Maelezo ya picha, Katika mradi wake ambapo anatoa mfano wake kutoka kwa wachoraji wajuzi wa Ulaya na waliochora mwaka 1800. Gekas amemtumia msichana wake mwenye umri wa miaka sita katika kila picha kuleta taswira hiyo ya waliokuwa watu wakubwa zamani
Hupanga vyema mavazi na taa wakati akipiga kila picha na kuzifananisha na picha za zamani kiasi. Picha hii yenye kichwa 'Doilies In Delft,' mchoraji wake ambaye aliitwa Johannes Vermeer alizaliwa Delft
Maelezo ya picha, Hupanga vyema mavazi na taa wakati akipiga kila picha na kuzifananisha na picha za zamani kiasi. Picha hii yenye kichwa 'Doilies In Delft,' mchoraji wake ambaye aliitwa Johannes Vermeer alizaliwa Delft
Mchoraji huyo mashuhuri kutoka Uholanzi alichora picha 34 pekee maishani mwake. Moja ya picha zilizowavutia watu ilikuwa moja ya msichana aliyekuwa amevalia kipuli.
Maelezo ya picha, Mchoraji huyo mashuhuri kutoka Uholanzi alichora picha 34 pekee maishani mwake. Moja ya picha zilizowavutia watu ilikuwa moja ya msichana aliyekuwa amevalia kipuli.
Picha nyingine nzuri ilikuwa ya msichana ambaye hakuvalia kipuli. Gekas aliipiga picha hii kwa kutumia taa mbili na vitambara vya nguo
Maelezo ya picha, Picha nyingine nzuri ilikuwa ya msichana ambaye hakuvalia kipuli. Gekas aliipiga picha hii kwa kutumia taa mbili na vitambara vya nguo
Kwa picha hii Gekas aliipiga kwa kutumia taa moja anayosema kuwa amekuwa akipenda kufanya hivyo.
Maelezo ya picha, Kwa picha hii Gekas aliipiga kwa kutumia taa moja anayosema kuwa amekuwa akipenda kufanya hivyo.
''Mimi hujaribu kusoma na kujionea picha mbali mbali na mvuto wao,'' anasema Gekas. Hii huwa kibarua kikubwa kwangu hasa kwa kuhakikisha natoa picha nzuri.
Maelezo ya picha, ''Mimi hujaribu kusoma na kujionea picha mbali mbali na mvuto wao,'' anasema Gekas. Hii huwa kibarua kikubwa kwangu hasa kwa kuhakikisha natoa picha nzuri.
Unaweza kuona picha zaidi za mpiga picha Gekas katika mtandao wake www.billgekas.com
Maelezo ya picha, Unaweza kuona picha zaidi za mpiga picha Gekas katika mtandao wake www.billgekas.com