‘Ndugu na marafiki zangu waliniona kichaa kwa kufanya kazi ya kufagia’ - Lufutu, Mwanafunzi wa PhD

Maelezo ya video, Lakini licha ya kuwa msomi wa PhD kijana huyu hajaacha kazi yake ya kufagia.

Ujasiriamali na kujiajiri kumegeuka fursa kwa kijana @piuslufutu ambaye alianza taratibu kujishughulisha na kufagia sehemu mbali mbali katika chuo cha St. Augustine University (SAUT) ikiwa ni sehemu ya kujipatia kipato na ada ya masomo yake ya shahada ya uzamivu (PhD) anayoichukulia hapo hapo chuoni.

Lakini licha ya kuwa msomi wa PhD kijana huyu hajaacha kazi yake ya kufagia.

Mwandishi wa BBC @frankmavura amekutana na kijana huyu katika chuoni hapo na kuandalia taarifa hii.