Malkia Elizabeth II: Harusi yake ya kifahari Uingereza 1947
Malkia Elizabeth aliolewa na binamu yake wa tatu, Duke wa Edinburgh, mnamo Novemba 1947.
Alisema waziri mkuu wa wakati wa vita Winston Churchill, harusi iliyoleta mbwembwe baada ya Uingereza kutoka katika vita.