Uchaguzi Kenya 2022: Je, ni utaratibu gani utakaotumika wakati wa kupiga kura?
Wapiga kura nchini kenya wanatarajia kuwachagua viongozi wao tarehe tisa mwezi Agosti mwaka huu.
Je, ni utaratibu gani utakaotumika wakati wa kupiga kura?
Paula odek anatueleza zaidi.