Malkia Elizabeth II: Maisha katika picha

Queen Elizabeth II peers round a corner during a visit to the Royal Albert Hall in London, marking the end of an 8 year restoration program.

Chanzo cha picha, PA Media

Malkia Elizabeth II aliishi maisha yake akiangaziwa pakubwa . Tunatazama nyuma katika enzi yake, kutoka akiwa mtoto hadi mrithi mtawala wa kifalme aliyetawala muda mrefu zaidi wa Uingereza.

1px transparent line
The Queen Mother (then the Duchess of York) with her husband, King George VI (then the Duke of York), and their daughter Queen Elizabeth II (then Elizabeth Alexandra Mary Windsor) at her christening in May 1926

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Elizabeth Alexandra Mary Windsor alizaliwa tarehe 21 Aprili 1926, katika nyumba karibu na Berkeley Square huko London. Alikuwa mtoto wa kwanza wa Albert, Duke wa York - mtoto wa pili wa George V - na mkewe, Lady Elizabeth Bowes-Lyon wa zamani.
1px transparent line
HRH Princess Elizabeth, circa 1929 aged about three years old. Artist Marcus Adams.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Katika miaka yake ya mapema, hakuna mtu ambaye angeweza kutabiri kwamba kiti cha ufalme kingekuwa hatima yake
1px transparent line
Princess Elizabeth being greeted by an official, Windsor.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Hata hivyo, ilisemekana kuwa alionyesha hisia ya ajabu ya uwajibikaji tangu umri mdogo sana
1px transparent line
Princess Margaret and Princess Elizabeth, the Royal sisters, as children, 1930s.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Elizabeth na dada yake, Margaret Rose, aliyezaliwa mwaka wa 1930, walisoma nyumbani
1px transparent line
The Royal Family on the balcony at Buckingham Palace after the coronation of King George VI of England. Shown are (from left to right): Queen Elizabeth; Princess Elizabeth; Queen Mary the Queen Mother; Princess Margaret; and King George VI.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Kufuatia kusalimisha kiti cha ufalme na Mfalme Edward VIII mnamo 1936, babake Elizabeth alikua George VI na akawa mrithi.
1px transparent line
Princess Elizabeth (right) and Princess Margaret during a wartime broadcast for Children's Hour on the BBC

Chanzo cha picha, Topical Press Agency / Getty Images

Maelezo ya picha, Wakati wa Vita vya Pili vya Ulimwengu, Elizabeth na dada yake Margaret walihamishwa hadi Windsor. Picha hii inawaonyesha wakitangaza kwa taifa katika kipindi cha Children's Hour kwenye idhaa ya BBC
1px transparent line
Princess Elizabeth changing the wheel of a military vehicle during World War Two, in an unknown location. 1940s

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Binti wa kifalme alijiunga kwa muda mfupi na Huduma ya Auxiliary Territorial Service (ATS) mwishoni mwa vita alipojifunza kuendesha gari na kuyafanyia ukarabati
1px transparent line
Princess Elizabeth (later Queen Elizabeth II) and Philip Mountbatten (later Prince Philip) make their way down the aisle of Westminster Abbey, London, on their wedding day, 20th November 1947.

Chanzo cha picha, Bert Hardy / Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo 1947 aliolewa na binamu waKE WA mbali, Philip Mountbatten, ambaye alikuwa Duke wa Edinburgh.
1px transparent line
Princess Elizabeth holds her son Prince Charles after his Christening ceremony in Buckingham Palace, 1948

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mtoto wao wa kwanza, Charles (pichani), alizaliwa mwaka wa 1948, akifuatiwa na dada, Anne, ambaye aliwasili mwaka wa 1950.
1px transparent line
Queen Elizabeth and Princess Elizabeth hold on to their hats as they arrive at Westminster Abbey to attend the wedding of Lady Caroline Montagu-Douglas-Scott to Mr Ian Hedworth Gilmour

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Elizabeth aliendelea kuwa karibu sana na mama yake katika maisha yake yote. Wanaonyeshwa hapa mnamo 1951 wakihudhuria harusi
1px transparent line
Princess Elizabeth and the Duke of Edinburgh pause on the rustic bridge in the grounds of the Royal Lodge, Sagana, their wedding present from the people of Kenya.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mnamo Januari 1952, Elizabeth na Philip walianza safari ya ng'ambo badala ya baba yake, ambaye alikuwa mgonjwa. Mfalme alikufa usingizini siku chache baadaye.
1px transparent line
The Queen arrives back in Britain from Nairobi following the death of her father George VI, and is met by the politicians (second l to r) Lord Woolton, Anthony Eden, Clement Atlee and Winston Churchill.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Elizabeth alirudi nyumbani mara moja. Malkia mpya alikuwa na umri wa miaka 25 tu
1px transparent line
Queen Mary (centre) watches as the body of her son, George VI, is brought to Westminster Hall, London, for the lying-in-state. By her side, the Queen Mother, right, her eyes closed in grief. Queen Elizabeth II, veiled, stands behind her grandmother.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Kwanza ilikuja mazishi ya Mfalme. Hapa Malkia Mary, mama yake, akitazama mwili wa George VI ukiletwa kwenye Ukumbi wa Westminster, London, kwa ajili ya kuulaza kitaifa. Malkia Elizabeth anasimama nyuma ya bibi yake, na Mama wa Malkia yuko upande wa kushoto
1px transparent line
Queen Elizabeth II during her coronation. 1953.

Chanzo cha picha, Universal History Archive

Maelezo ya picha, Kisha, mnamo Juni 1953, Elizabeth alitawazwa huko Abbey Westminster
1px transparent line
Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh make their appearance on the Buckingham Palace balcony and wave to the cheering crowds around the gates.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Baada ya kutawazwa, Malkia Elizabeth II na Duke wa Edinburgh walijitokeza kwenye balcony ya Jumba la Buckingham na kuwapungia mkono umati wa watu waliokuwa wakishangilia
1px transparent line
Queen Elizabeth II, ascending the Grand Staircase at the Opera in Paris during a state visit to the French capital, 8 April 1957. The image is a montage of 15 separate pictures.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Ingawa Uingereza ilikuwa bado inastahimili ukali wa baada ya vita, wachambuzi wengine walielezea kutawazwa kama mapambazuko ya enzi mpya ya Elizabethan. Hapa, Malkia Elizabeth II akipanda ngazi kuu kwenye Opera huko Paris, Ufaransa
1px transparent line
The Queen seen on a television screen as she concludes what became her traditional Christmas day broadcast to her people, which was televised in 1957 for the first time and carried by both the BBC and ITV.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mnamo 1957, Malkia alitangaza matangazo ya kwanza ya Siku ya Krismasi ya televisheni kwa taifa
1px transparent line
A Union Jack planted in the garden caught the Queen's attention, but she is the object of the neighbours' gaze. They watched as she arrived to visit the home of Mr and Mrs Eddie Hammond at Crawley New Town, Sussex after opening Gatwick Airport. 1958

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Jamii na mitazamo ya Waingereza kwa utawala wa kifalme ilikuwa ikibadilika na neno "Ufalme" lilibadilishwa polepole na "Familia ya Kifalme". Malkia ndiye mtu anayetazamwa na majirani wakati akitembelea nyumba ya Bwana na Bi Eddie Hammond huko Crawley New Town, Sussex mnamo 1958.
1px transparent line
Queen Elizabeth II and her daughter Princess Anne at Frogmore, Windsor Castle, 1959

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Kati kati ya majukumu rasmi Elizabeth alitumia wakati na familia yake - hapa na binti yake Princess Anne huko Frogmore, Windsor Castle.
1px transparent line
England captain Bobby Moore holds the Jules Rimet Trophy, collected from the Queen, after leading his team to a 4-2 victory over West Germany in the World Cup Final that went to extra time at Wembley, London

Chanzo cha picha, Mirrorpix / Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo 1966, huko Wembley, Malkia alikabidhi Kombe la Jules Rimet kwa nahodha wa Uingereza Bobby Moore baada ya kuiongoza timu yake kushinda 4-2 fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani Magharibi.
1px transparent line
The Queen and Prince Philip visiting Aberfan. 29 October 1966.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo tarehe 29 Oktoba 1966, Malkia alitembelea kijiji cha Wales cha Aberfan, siku nane baada ya maporomoko ya ardhi katika Shule ya Pantglas Junior na kuua watu 144, 116 kati yao wakiwa watoto. Malkia aliguswa na hisia na inabakia kuwa moja ya nyakati za majonzi zaidi za utawala wake
1px transparent line
BBC & ITV co-production, the 'Royal Family' was first transmitted on 21 June 1969. The documentary gave audiences an unprecedented view of a year in the private and public life of the Queen and her family. The 110-minute film was shown with a two-minute tea break interval, and was watched by 23 million people.

Chanzo cha picha, Mirrorpix / Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo 1969, filamu ya uhalisia ya Royal family ilitangazwa kwa mara ya kwanza. Iliwapa hadhira mtazamo ambao haujawahi kushuhudiwa wa mwaka mmoja katika maisha ya kibinafsi na ya umma ya Malkia na familia yake
Queen Elizabeth II formally invests her son Prince Charles with the Coronet of the Prince of Wales during a ceremony at Caernarfon Castle in Cardiff

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Malkia aliwekeza rasmi mtoto wake Prince Charles na Coronet ya Prince of Wales wakati wa sherehe katika Kasri ya Caernarfon. Alichukua taji hilo akiwa na umri wa miaka tisa, lakini Malkia alisisitiza kwamba sherehe hiyo ingesubiri hadi aelewe umuhimu wake kikamilifu.
1px transparent line
The Queen, sitting on a grassy bank with the corgis, at Virginia Water to watch competitors, including Prince Philip in the Marathon of the European Driving Championship, part of the Royal Windsor Horse Show, 1973

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Katika enzi yake yote ya tawala , Malkia amepigwa picha akiwa na mbwa wa corgis kando yake. Uhusiano wa Familia ya Kifalme na uzao huo ulianza wakati baadaye George VI alinunua corgi inayoitwa Dookie kuwapa binti zake mnamo 1933.
1px transparent line
Queen Elizabeth II on a walkabout in Portsmouth during her Silver Jubilee tour of Great Britain

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mnamo 1977 nchi iliadhimisha Jubilee ya Fedha ya Malkia, kuadhimisha miaka 25 kwenye kiti cha ufalme. Malkia alikutana na umati wa watu wenye shangwe alipokuwa akizuru nchi
1px transparent line
Queen Elizabeth II watches bathers in a pool at Parade Gardens, Bath, during her Silver Jubilee tour of Great Britain.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Malkia alitembelea kaunti 36 kwa muda wa wiki 10 - ikijumuisha Avon, ambapo aliona watu wakitumia vyema hali nzuri ya hewa ya kiangazi. Pia alisafiri maili 56,000 duniani kote katika sherehe
Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh wave as Concorde flies by the Royal Yacht Britannia as the royal couple neared Barbados

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Malkia na duke walikuwa wakipunga mkono huku Concorde ikipita chini karibu na Royal Yacht Britannia wakati wanandoa wa kifalme walikaribia Barbados.
1px transparent line
Queen Elizabeth II, wearing a cloak of brown kiwi feathers, with Maori warriors at Rugby Park, Gisborne, when she and the Duke of Edinburgh received a New Zealand Maori welcome at the opening of the Royal New Zealand Polynesian Festival.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mwaka baada ya mwaka, majukumu ya umma ya Malkia yaliendelea. Malkia na Duke wa Edinburgh walipokea makaribisho ya Maori ya New Zealand kwenye ufunguzi wa Tamasha la Royal New Zealand Polynesia.
1px transparent line
The flag-draped coffin of Lord Mountbatten rests on a catafalque during the funeral service in Westminster Abbey. Royal mourners (l-r) Queen Elizabeth II, her husband the Duke of Edinburgh, Queen Elizabeth, The Queen Mother, and the Prince of Wales, 5 September 1979

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mnamo Agosti 1979, mjomba wa Prince Philip na binamu wa Malkia, Louis Mountbatten, 1st Earl Mountbatten wa Burma, aliuawa kwa bomu la IRA akiwa kwenye mashua yake huko Ireland. Pamoja na kuwa mwanafamilia wa karibu, Lord Mountbatten alikuwa ameshikilia nyadhifa nyingi za juu za kijeshi, na mazishi yake yalifanyika Westminster Abbey.
1px transparent line
Prince Charles And Princess Diana kissing on The balcony of Buckingham Palace, 29 July 1981. They are surrounded by their bridesmaids and pageboys as well as Queen Elizabeth II, Prince Edward and the Queen Mother.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo 1981, mtoto mkubwa wa Elizabeth Charles alioa Lady Diana Spencer. Charles na Diana walikuwa na wana wawili, William na Harry, kabla ya talaka. Diana alikufa katika ajali ya gari huko Paris mnamo 1997.
1px transparent line
The Queen is escorted by the chief fire officer around the grounds of Windsor Castle as fire fighters battle a fire, 20 November 1992.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Wakati wa hotuba yake ya Krismasi, Malkia alielezea 1992 kama "annus horribilis", akielezea huzuni yake katika mwaka ambao ulishuhudia kuvunjika kwa ndoa tatu za watoto wake na moto katika Windsor Castle.
1px transparent line
HM Queen Elizabeth II fires a rifle during a visit to the Army rifle association at Bisley, England July 1993

Chanzo cha picha, David Cooper/Alamy

Maelezo ya picha, Maoni ya umma yalikuwa dhidi ya serikali kulipia matengenezo ya ngome hiyo. Utawala ulijitetea, na Jumba la Buckingham lilifunguliwa kwa wageni ili kuchangisha pesa. Malkia alifyatua risasi ya mwisho kwenye bunduki ya kawaida ya SA80 na Shirika la Rifle la Jeshi huko Bisley
1px transparent line
Britain's Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh view the floral tributes to Diana, Princess of Wales, at Buckingham Palace, 1997

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Baada ya kifo cha Diana, Princess wa Wales, mnamo 1997, Malkia alikabiliwa na ukosoaji kwa kutoonekana hadharani. Hatimaye alitazama heshima nje ya Jumba la Buckingham na akafanya matangazo ya moja kwa moja kwa taifa
The Queen joined Mrs Susan McCarron (front left ) her ten-year-old son, James and Housing Manager Liz McGinniss for tea in their home in the Castlemilk area of Glasgow. 7 July 1999.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Malkia alijiunga na Bi Susan McCarron kwa chai nyumbani kwake katika eneo la Castlemilk huko Glasgow, wakati Familia ya Kifalme ilijaribu mbinu ya karibu zaidi na isiyo rasmi ya kukutana na umma.
1px transparent line
Princess Margaret (L) and Queen Elizabeth (R) stand next to the Queen Mother as she waves to admirers on the occasion of her 100th birthday celebration 4 August, 2000 in London.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo 2000, Mama wa Malkia alisherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 - hapa na binti zake Princess Margaret na Malkia Elizabeth.
Queen Elizabeth II (front, C) leads her family as she follows pall bearers carrying the coffin of Queen Elizabeth, the Queen Mother out of Westminster Abbey after the funeral service in London 09 April 2002.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo 2002, Malkia alikabiliwa na vifo vya dada yake, Princess Margaret, na mama yake, Mama wa Malkia, wiki saba baada ya kifo cha kwanza
1px transparent line
Britain's Queen Elizabeth and Prince Philip ride in the Golden State Carriage at the head of a parade from Buckingham Palace to St Paul's Cathedral celebrating the Queen's Golden Jubilee, on 4 June 2002, along The Mall in London.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Malkia alifurahia kuungwa mkono msimu huo wa joto alipokuwa akisherehekea Jubilee yake ya Dhahabu. Idadi kubwa ilijitokeza kwa gwaride na watu milioni moja walijaa katika Jubilee jioni ya Jubilee mnamo 4 Juni.
1px transparent line
Marriage of Prince Charles and Camilla Parker Bowles, 2005

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mnamo 2005, Malkia Elizabeth alimtazama mwanawe mkubwa akioa kwa mara ya pili. Prince Charles alifunga ndoa na Camilla Parker Bowles katika sherehe ya kiraia huko Windsor Guildhall, ikifuatiwa na baraka katika kanisa la St George katika Windsor Castle.
1px transparent line
Britain's Queen Elizabeth II, her husband the Duke of Edinburgh, the Prince of Wales and the Duchess of Cornwall attend the Braemar Highland Games

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Elizabeth, mumewe Duke wa Edinburgh, Prince of Wales na Duchess of Cornwall wakifurahia katika Michezo ya Braemar Highland huko Aberdeenshire
Queen Elizabeth II stands in the rain as guests take shelter at the opening of the Lawn Tennis Associations new headquarters in Roehampton, London, 2007

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Mnamo 2007, Malkia alipigwa picha akijikinga na mvua wakati wa ufunguzi wa makao makuu mapya ya Chama cha Tenisi cha Lawn huko Roehampton.
1px transparent line
Queen Elizabeth II sits in the Regency Room at Buckingham Palace in London as she looks at some of the cards which have been sent to her for her 80th birthday

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Malkia alinukuu kauli ya Groucho Marx kuhusu kuzeeka katika hotuba yake ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa rasmi ya 80 akisema: "Mtu yeyote anaweza kuzeeka; unachotakiwa kufanya ni kuishi muda wa kutosha."
1px transparent line
Prince William Duke of Cambridge and Catherine Duchess of Cambridge bow in front of Queen Elizabeth II at Westminster Abbey on April 29, 2011 in London, England.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Moja ya matukio ya furaha katika miaka yake ya baadaye ilikuwa harusi ya mjukuu wake Prince William na Catherine Middleton mwaka wa 2011. Hapa Prince William na bibi harusi wake mpya wakionyesha heshima kwa Malkia.
1px transparent line
Britain's Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh arrive at a windy RAF Valley in Anglesey, to visit their grandson Prince William at the base.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Malkia karibu apoteze kofia yake alipofika kwenye Bonde lenye upepo la RAF huko Anglesey ambapo yeye na Prince Philip walikuwa wanamtembelea Prince William, ambaye alihudumu huko wakati huo.
Queen Elizabeth II reacts as she is given some flowers as she visits Leicester Cathedral on 8 March 2012 in Leicester, England.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Ziara ya Leicester iliashiria kuanza kwa ziara yake ya miaka 60 ya Diamond Jubilee nchini Uingereza mnamo 2012.
1px transparent line
James Bond was at Her Majesty's service as the Queen joined the opening ceremony of the London 2102 Olympic Games.
Maelezo ya picha, Hii ilifuatiwa kwa karibu na kuonekana katika sherehe za ufunguzi wa Olimpiki ya London, katika mlolongo wa filamu pamoja na nguli mwingine wa Uingereza, James Bond, iliyochezwa na mwigizaji Daniel Craig.
1px transparent line
Britain's Queen Elizabeth II with her racing manager John Warren after her horse, Estimate, won the Gold Cup, 2013

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Miaka 60 baada ya kufurahia mshindi wa kwanza wa Royal Ascot kama mmiliki,farasi wa Malkia alishinda Kombe la Dhahabu la 207, na kuleta furaha kubwa kwake na meneja wake wa mbio John Warren.
1px transparent line
Queen Elizabeth II, on the day she became Britain's longest-reigning monarch, seen on the Scottish Borders Railway

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Saa 17:30 BST tarehe 9 Septemba 2015, Elizabeth alikuwa ametawala kwa siku 23,226, saa 16 na takriban dakika 30 - kupita utawala wa Malkia Victoria. Alitumia siku nzima huko Scotland kufungua reli mpya
1px transparent line
Queen Elizabeth II joins members of the Royal Family, including the Duke and Duchess of Cambridge with their children Princess Charlotte and Prince George, on the balcony of Buckingham Palace, central London after they attended the Trooping the Colour ceremony as part of Her Majesty's birthday celebrations

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Malkia alijumuika na washiriki wengine wa Familia ya Kifalme kwa sherehe rasmi ya siku yake ya kuzaliwa mnamo Juni 2016. Alikuwa ametimiza miaka 90 mapema mwaka huo.
1px transparent line
Queen Elizabeth II watches her horse Sparkler compete in the Flat Ridden Sport Horse class on day one of the Royal Windsor Horse Show in Home Park on 9 May 2018 in Windsor, England.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Malkia aliendelea na majukumu yake ya umma, mara nyingi peke yake baada ya kustaafu kwa Duke wa Edinburgh. Malkia alitazama farasi wake Sparkler akishindana kwenye Maonyesho ya Farasi ya Royal Windsor mnamo 2018
1px transparent line
The Duke and Duchess of Sussex are joined by her mother, Doria Ragland, as they show their new son, born Monday and named as Archie Harrison Mountbatten-Windsor, to the Queen Elizabeth II and the Duke of Edinburgh at Windsor Castle. 3 May 2019

Chanzo cha picha, Chris Allerton / SussexRoyal

Maelezo ya picha, Kulikuwa na furaha wakati familia yake ilikua - hapa anapigwa picha na Duke na Duchess wa Sussex, mtoto wao Archie na mama wa duchess Doria Ragland. Lakini pia kulikuwa na matatizo katika familia - ikiwa ni pamoja na urafiki wa Prince Andrew na mfadhili wa Marekani namtuhumiwa wa makosa ya ngono aliyehukumiwa Jeffrey Epstein, na Prince Harry kukosa tamaa ya maisha katika familia ya kifalme.
1px transparent line
Queen Elizabeth II takes her seat for the funeral of the Duke of Edinburgh in St George's Chapel, Windsor Castle, Berkshire. 17 April 2021.

Chanzo cha picha, PA Media

Maelezo ya picha, Prince Philip, mume wa Malkia Elizabeth II, alikufa mnamo 9 Aprili 2021, akiwa na umri wa miaka 99 na baada ya zaidi ya miongo sita kando yake. Picha ya Malkia akiwa peke yake kwenye mazishi wakati wa janga la Covid iligusa makumi ya maelfu ya familia ambazo zililazimika kuwaheshimu wapendwa kwa mtindo kama huo.
1px transparent line
Pictured (left to right) Prince George, Prince Louis being held by Queen Elizabeth II, Savannah Phillips (standing at rear), Princess Charlotte, the Duke of Edinburgh, Isla Phillips holding Lena Tindall, and Mia Tindall. 14 April 2021

Chanzo cha picha, Duchess of Cambridge

Maelezo ya picha, Malkia ameacha watoto wake wanne, wajukuu wanane na vitukuu 11
1px transparent line

Picha zote zipo chini ya hakimiliki.