Ngorongoro:Iikuaje hadi suala Ngorongoro likafikia hapa?
Mgogoro wa Ngorongoro nchini Tanzania umetikisa vichwa vya Habari kwa miezi kadhaa nchini humo, mjadala mkubwa ukiwa ni suala la kuhamishwa kwa jamii ya wamasai eneo la hifadhi kutokana na idadi ya watu kuongeza kwa kiasi kikubwa.
Serikali ya Tanzania tayari imeanza zoezi la kuwaondoa kwa hiari wale wote watakaomua kujiandika na kuondoka eneo la hifadhi na hadi sasa zaidi ya watu 400 wamejiandikisha.
Lakini ilikuaje hadi suala hili likafikia hapa?
Mwandishi wa BBC Alfred Lasteck alifika eneo hilo na kuandaa taarifa ifuatayo.