Mzozo wa Ukraine: 'Tulitendewa kama wanyama' – Waafrika wanaokimbia Ukraine
Huku maelfu wakikusanyika kwenye mpaka wa Ukraine' kuingia nchi jirani, video zilizoshirikishwa mitandaoni zinaonesha kikosi cha mpakani cha Ukraine kikiwazuia watu wasio kuwa wazungu kuvuka mpaka.