Wayahudi wanaovalia kama Waislamu ili kuepukaa marufuku ya maombi
Mji wa kale mjini Jerusalem, msikiti wa Al-Aqsa, hujulikana kama kitovu cha mzozo baina ya Israel na Palestine juu ya nani anaruhusiwa kuingia katika eneo hilo takatifu linalothaminiwa na dini za mataifa yote mawili.
Hivi karibuni imegundulika kuwa Wayahudi wamekua wakivalia kama waislamu na kuswali katika msikiti huo jambo ambalo linahofiwa kuendeleza mzozo huo.
Esther Kahumbi aliandaa taarifa ifuatayo.