Fahamu ni kwanini kumekuwa na mapinduzi na majaribio mengi ya mapinduzi Afrika
Nchi kadhaa za Afrika zimeshuhudia mapinduzi na majaribio ya mapinduzi baina ya mwaka 2020 na 2022. Wengi wamekuwa wakiuliza ni nini kilicho nyuma ya mapinduzi haya?
Mwandishi wa BBC Mayeni Jones anaelezea...