Biubwa: Mwanamke mwanamapinduzi aliyeshiriki kikamilifu mapinduzi ya Zanzibar

Maelezo ya video, Biubwa: Mwanamke mwanamapinduzi aliyeshiriki kikamilifu mapinduzi ya Zanzibar

Biubwa Amour Zahor Mwanamke mwanamapinduzi aliyeshiriki kikamilifu mapinduzi ya Zanzibar anasema licha ya madhila aliyoyapitia, anajivunia yote aliyoyafanya kwa taifa lake

Eagan Salla akiwa visiwani Zanzibar alimtembelea nyumbani kwake mji mkongwe kisiwani unguja na hii ni taarifa yake.