Kitu cha kushangaza kinachofanana na 'nyumba' chaonekana mwezini
China imeanzisha uchunguzi kuhusu kitu cha kushangaza kilichopigwa picha karibu na mwezi. Kitu hicho kinachofanana na nyumba ya kitamaduni kilionekana na kifaa cha angani cha Yutu -2 mwezi Novemba 2021. Wataalam hatahivyo wanasema kwamba huenda likawa ni jiwe.