Danielle Williams: Mruka anga wa kike mlemavu anayevishinda vikwazo
Danielle Williams ni Mmarekani mweusi mwenye ulemavu anayepaa angani kwa lengo la kuhamasisha ujumuishwaji wa watu wote katika mchezo kama huo na mingine.
Amekuwa akipaa kwa miongo kadhaa lakini anasema bado anadhaniwa kuwa mwanagenzi kwa sababu ya muonekano wake.
