Jamad Fiin: Mchezaji nyota wa mpira wa vikapu anayebadilisha mtazamo kuhusu Uislamu
Video inayomuonesha mcheza mpira wa kikapu ,Jamad Fiin yapata mamilioni ya watazamaji mtandaoni.
Mchezaji huyo wa chuo cha Boston, nchini Marekani anatumia umaarufu wake kuwavutia vijana wengine katika mchezo huo.