LEO: Roboti inayoweza kutembea, kuruka na kuteleza katika ubao

Maelezo ya video, LEO: Roboti inayoweza kutembea, kuruka na kuteleza katika ubao

Robot hii inayovutia iliundwa katika chou kikuu cha Caltech nchini Marekani , ambapo watafiti walivutiwa na ndege na wadudu ambao wanaweza kutembea na kuruka mara moja.