Africa Eye: Watoto wa Nigeria wanaotekwa nyara

Maelezo ya video, Africa Eye: Watoto wa Nigeria wanaotekwa nyara

Katika kipindi cha miezi saba iliyopita wimbi la utekaji nyara unaolenga watoto wa shule na wanafunzi wa vyuo vikuu limekumba eneo la kasakazini na kati mwa Nigeria

Kumeshuhudiwa jumla ya matukio tisa makubwa ya utekaji katika ajimbo matano ya nchi hiyo. Wengi wanaamini visa vya utekaji vimeongezeka kutokana na ulipaji kikombozi.