Fahamu jinsi viwanda vinavyotumia hewa ya CO2 kuzalisha bidhaa kuinusuru sayari
eknolojia ya kunasa hewa ya kaboni kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kundoa CO2 hewani ndilo linalofanywa baadhi ya viwanda ili kuinusuru sayari dunia. Idadi ya kubwa ya makampuni kwa sasa yanatumia hewa hiyo chafu iliyokusanywa na kutunzwa, kutengeneza bidhaa, ikiwa ni pamoja na almasi. Je mchakato huu unafanyikaje?. Tazama video hii