Fahamu unavyoweza kupunguza alama yako ya kaboni
Kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ni kazi kubwa na unaweza kuhisi kuwa haiwezekani kufikia hilo peke yako
Lakini kuna njia wazi za kupunguza mchango wako wa uzalishaji wa kaboni, ambayo pia inajulikana kama nyayo ya kaboni yako. BBC Reality Check inaelezea jinsi kubadilisha mambo matatu kuhusu vile unavyoishi kunaweza kuleta mabadiliko.