India: Mbunifu wa pasi ya sola

Maelezo ya sauti, mbunifu wa pasi ya sola

Wauzaji wa kupiga pasi ni kawaida nchini India. Vyuma vinawaka moto kwa kutumia mkaa, mafuta ambayo yanachangia uchafuzi wa hewa.

Lakini Vinisha Umashankar, msichana wa miaka 14 kutoka Tamil Nadu, amepata suluhisho safi la kutumia pasi ya sola .Tembelea mtandao wa BBC News.Com kwa taarifa ya kina