Mshindi wa tuzo ya Nobel kutoka Tanzania Abdulrazak Gurnah azungumza na BBC
Mwandishi wa riwaya mtazanzania Abdulrazak Gurnah ameshinda tuzo ya fasihi ya Nobel kwa mwaka 2021. Kwa ushindi huo amejipatia dola $1.14m .
Gurnah mwenye umri wa miaka 73 ni mwandishi wa riwaya 10 , ikiwemo Paraduse and Desertion. Riwaya ya Paradise iliochapishwa 1994, inaangazia hadithi ya mvulana aliyekulia nchini Tanzania katika karne ya 20 na kushinda tuzo ya Booker na hivyobasi kuanza kupata ufanisi wake kama mwandishi wa Riwaya.