Ndoto za mitaani-Kujikimu kimaisha kupitia densi
Gidi mwenye umri wa miaka 19 hajakuwa na makazi tangu akiwa mtoto wa miaka 9 na sasa anajipatia kipato kwa kufanya densi nje ya maeneo ya burudani na vilabu na alifanikiwa kutambuliwa kupitia talanta hiyo na hata kuonekana katika runinga nchini Kenya