Waridi wa BBC: Kazi ya malkia wa video sio ukahaba, asema Official Lynn

Maelezo ya video, Waridi wa BBC: Kazi ya malkia wa video sio ukahaba, asema Official Lynn

Irene Jefrey Luis almaarufu Official Lynn ni mojawapo ya wasanii na malkia wa video 'videovixens' ambao ni maarufu nchini Tanzania