Hedhi:Ni zipi dhana za kupotosha kuhusu hedhi?

Maelezo ya video, Ni zipi dhana za kupotosha kuhusu hedhi?

Umeskia mengi kuhusu hedhi na hasa dhana za kupotosha –Lakini je ukweli ni upi katika kila kinachosemwa kuhusu hedhi?BBC inakufafanulia ukweli kuhusu yote unayofaa kujua kuhusu hedhi