Jinsi matukio ya kususia chanjo yanavyoshamiri Marekani

Maelezo ya video, Nesi ambaye yuko tayari kupoteza kazi kuliko kucpewa chanjo ya corona

Jennifer ni muuguzi aliyefungua kesi dhidi ya mfumo wa hospitali ambao unalazimisha apewe chanjo ya Covid au apoteze ajira yake.

Houston Methodist ini hospitali ya kwanza nchini Marekani kulazimisja wafanyakazi wake kuchanjwa dhidi ya virusi vya corona.

Wamarekani wengi wanaporejea kazini, maafisa wa afya ya umma nchini Marekani wansema viwango vya chanjo na dhana potovu mitandaoni dhidi ya chanjo zinatishia juhudi za nchi kukabilia na janga la Covid- 19.