Virusi vya corona: Je chanjo ya corona ina madhara kwa hedhi?

Maelezo ya video, Virusi vya corona: Je chanjo ya corona ina madhara kwa hedhi?

Baadhi ya wanawake waliopewa chanjo ya kukabiliana na virusi vya corana wamepata hedhi nzito au kuchelewa kupata ada yao ya mwezi.

Lakini kuna haja ya kuwa na wasi wasi? Tulimuuliza Dkt Viki Male, mataalamu wa afya ya uzazi na masuala ya king akatika Chuo cha Imperial mjini London.