Je unafahamu nini kuhusu afya ya akili?
Je, unafahamu nini kuhusu afya ya akili? Unatambua kwamba mtu anaweza kuwa na matatizo ya afya yake ya akili? Unafahamu dalili za tatizo hilo na namna ya ya kupata msaada? Kung'amua majibu ya maswali hayo sikiliza makala haya ya Tuyajenge: