Samia Suluhu Hassan: Mabadiliko ya sura ya kisiasa Tanzania

Maelezo ya video, Samia Suluhu Hassan: Mabadiliko ya sura ya kisiasa Tanzania

Ni siku 100 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani baada ya mtangulizi wake John Pombe Magufuli kufariki. Leo tunaangazia mabadiliko yanayojitokeza katika utawala mpya haswa kwa upande wa demokrasia.

Aboubakar Famau alitembelea Mbeya ambako ni ngome kubwa ya chama kikuu cha upinzani, Chadema.