Siku 100 za Rais Samia Suluhu: ‘Tunamkumbuka shujaa wetu Magufuli, lakini tuna imani na mama Samia’

Maelezo ya sauti, ‘Tunamkumbuka shujaa wetu Magufuli, lakini tuna imani na mama Samia’

Katika mtiririko wa makala zetu za siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan, hii leo tunaangazia maisha ya wakazi mjini Chato baada ya siku 100 bila ya Rais Magufuli.

Ikumbukwe kwamba Chato ni miongoni mwa maeneo ambayo yalipata nafasi ya upendeleo katika kipindi cha uhai wa Magufuli.

Mwandishi wetu Aboubakar Famau yuko Chato na amepata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wakazi wa mji huo: