Tazama viumbe wa ajabu waliothibitishwa na Marekani kuwepo angani
Awali lilikuwa ni jambo la kubezwa na kudharauliwa. Wale walioripoti kuona vitu vya ajabu angani hawakuaminika, lakini sana jeshi la Marekani limethibitisha uwepo wa viumbe hivyo. Je, vina madhara kwa ulimwengu na binadamu? Fahamu zaidi kwa kutazama video hii: