Wakili wa Masheikh wa Uamsho azungumza kuhusu kuachiliwa kwao
Masheikh wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), waliokuwa gerezani nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka saba wameachiwa huru, bada ya mashtaka dhidi yao kufutwa. BBC imezungumza na mmoja wa mawakili wa mashekh hao, Abdallah Juma mbali na kuthibitisha wameachiwa