Ubunifu: Mkaa wa aina ya pekee unaopunguza gharama ya upishi Tanzania

Maelezo ya video, Ubunifu: Mkaanga chips anayetumia mkaa wa aina yake kupikia

Mjasiriamali Yazidu Yassin wa jijini Dar es salaam ameamua kutumia takataka kujitengenezea mkaa ambao anautumia kwenye biashara yake ya chipsi.

Yazidu ambaye alijifunza ubunifu huo toka kwa mjasiriamali mwingine hivi sasa licha ya kuutumia yeye mwenyewe pia anawauzia majirani zake na hata jaamii inayomzunguka.

Eagan Salla alimtembelea na kutuandalia taarifa ifuatayo;