Love Juakali:Nililengwa na unyanyasaji mtandaoni kwasababu ya muonekano wangu
Kwa baadhi ya nchi adhabu ya unyanyasaji wa mtandaoni huhusisha hadi kifungo gerezani .
Heleina Herman ama maarufu Love Juakali, ni msichana kutoka Tanzania ambaye amepitia unyanyasaji wa mtandaoni kutokana na muenekano wake.
Ni unyanyasaji wa aina gani ambao amekutana nao? Mwandishi wa BBC Fatma Abdallah alikutana naye na haya ni mazungumzo yao.