Fahamu jinsi volcano inavyojitengeneza na kulipuka
Mamia ya wakaazi wa jiji la Goma mwishoni mwa wiki hii walikimbia makaazi yao wakihofia ujiuji wa moto (lava) ambao umeangamiza nyumba zao. Je, lava hujitengeneza vipi? Na je wajua kuwa Tanzania kuna volcano iliyo hai yenye uwezo wa kulipuka? Zaidi msikilize Mwanajiolojia kutoka Tanzania Gabriel Mbogoni;
