Fahamu chanzo cha mapambano mapya ya Wapalestina na Waisraeli Jerusalemu
Ni kitongoji kilichopo Jerusalem Mashariki, kinaitwa Sheikh Jarra, hapo mlowezi wa Kiyahudi na mwanamke wa Kipalestina walinaswa kwenye mkanda wa video katika malumbano. Je ni malumbano gani hayo ambayo yamezaa moja ya moja ghasia kubwa zaidi katika eneo hilo kwa miaka ya hivi karibuni? Fuatilia video hii: