Tazama jinsi jengo la Ghorofa Gaza linavyoanguka katika shambulizi la angani la Israeli.
Jengo la ghorofa huko Gaza ambalo limeripotiwa kuwa na ofisi ya Hamas limeanguka katika shambulizi la angani lililofanywa na Israeli. Katika kulipiza kisasi wanamgambo huko Gaza walifyatua makombora kuelekea mji wa Israeli wa Tel Aviv. Kuongezeka kwa mashambulizi kunaniri baada ya siku za kadhaa za machafuko katika eneo hilo.