Waganda wamepokeleaje hukumu ya ICC dhidi Ongwen

Maelezo ya sauti, Waganda wamepokeleaje hukumu ya ICC dhidi Ongwen

Hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai ICC kumhukumu Kiongozi wa zamani wa waasi wa Lord's Resistance Army LRA Dominic Ogwen miaka 25 imeendelea kujadiliwa nchini Uganda. Baadhi ya watu wanahoji hatua ya Ongwen kuhudumu kifungi chake nje ya nchi. Mwandishi wa BBC Issac Mumena amezungumza nao.